Ikiwa umesalia mwezi mmoja tuumalize mwaka 2021, tayari tumeyashuhudia mengi tangu mwaka huu uanze kwenye kiwanda cha muziki wa Bongofleva, wasanii wameachia nyimbo, album na EP's ambazo ni kama zote, lakini pia wapo wanaofanya makubwa upande wa Digital.
Hii ni orodha kutoka ChartDataTz iliyopangwa kwa mtiririko, inayoonyesha wanamuziki nchini waliotazamwa zaidi kupitia mtandao wa Youtube mwezi uliopita, ambao ni Novemba (11) 2021.
1. @diamondplatnumz - 29.4M
2. @rayvanny - 19.5M
3. @harmonize_tz - 18.7M
4. @mbosso_ - 13.5M
5. @officialzuchu - 8.04M
6. @officialalikiba - 7.85M
7. @iamlavalava - 5.59M
8. @officialnandy - 3.58M
9. @marioo_tz - 3.34M
10. @macvoice_tz - 2.49M
Post a Comment