Hatimaye Visa ya Miss Tanzania Yapatikana Kwa Mbinde, Sasa Atasafiri


Better late than Never! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema. Hii ni baada ya kamati ya waandaaji wa Miss Tanzania kueleza kuwa viza ya mwakilishi wa Miss World kutoka Tanzania ambaye ni Juliana Rugumisa kuwa imekamilika na muda wowote kuanzia sasa atasafiri kuelekea yanapofanyika mashindano hayo ya dunia.

Haya yanajiri ikiwa ni siku mbili zimepita tangu kamati ya Miss Tanzania kutoa tamko la kuwa hawataweza kumpeleka mwakilishi kwa mwaka huu kutokana na kushindwa kupata viza.

Mashindano ya Miss World mwaka huu yanafanyika nchini Puerto Rico, Desemba 12.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post