Mwandishi wa habari, Saed Kubenea kupitia wakili wake, Hekima Mwasipu, leo Ijumaa wameomba kuondoa maombi yakufungua kesi ya matumizi mabaya ya madaraka dhidi Paul Makonda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, ili waboreshe hati ya mashtaka. Tayari ameshafungua maombi upya.
Post a Comment