Harmonize na Marehemu Rais Mkapa Walivyoiheshimisha Mtwara


Kama Ilivyo kawaida kwa Wasanii kuzitangaza na Kubrand Sehemu Walizozaliwa, Harmonize pia Amefanikiwa sana Kuibrand Mtwara na mikoa ya kusini kwa ujumla.

Zamani kabla ya "The Rise Of Harmonize as a Super Musician" pande za Kusini, watu wa huko walikuwa hawajiamini kabisa, mtu ukimuuliza unatoka wapi hawezi jibu eti anatoka Masasi, Tandahimba, Masasi, Perahimo nakadharika.

Baada ya Harmonize Kukua kimuziki na Kuibrand Mikoa ya kusini, hivi sasa imekuwa kama sifa kujitambulisha wewe ni mmakonde, kujiita chinga. Kusema unatoka mtwara siku hizi ni simple sana.


Nafasi 198 za Ajira zilizotangazwa Leo ziko HAPA

Mtu mwingine muhimu sana aliyeibrand mtwara miaka ya 1995-2005 ni Rais Mtaafu awamu ya tatu, Hayati Benjamin W Mkapa. Enzi za utawala wake aliweza sana na alifanikiwa kuitangaza na Kuipa sifa bora sana mikoa hiyo ya Kusini.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post