Hii ni baada ya rapper mkali na kutoka Marekani, French Montana leo alipoamua kum-follow hit maker huyo wa ‘Ex-Wangu Remix’ kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Mbali na mrembo Hamisa Mobetto kuhusishwa kuwa penzini na msanii toka Marekani Rick Ross, baada ya Novemba 25, 2021 kuonekana wakiwa katika falme za kiarabu Dubai wakila bata pamoja, huu ni muendelezo mwingine wa #Hamisa kuzidi ku-shine kimataifa zaidi na kazi zake kufika mbali.
Post a Comment