Majibu ya AliKiba baada ya kuulizwa kama ana mpango wa kuanzisha kampuni ya kubashiri michezo (Betting) kama ambavyo msanii Diamond Platnumz amefanya. AliKiba alisema hawezi kufanya hivyo kwani Dini yake haimruhusu.
"Kwa Bahati mbaya Dini yangu hairuhusu, sasa sijajua Dini ya Diamond." alijibu @officialalikiba mbele ya Waandishi wa habari baada ya kutua nchini Kenya jana usiku.
Post a Comment