Wasafi Media Wawaomba Radhi Wakristo Baada ya Kumuhoji Nabii Daniel Shilla na Kusema Yesu Alikuwa Tapeli


Uongozi wa Wasafi Media umetoa barua ya kuomba radhi waumini wote na madhehebu ya kikristo ,kufuatia kuchapisha maudhui yaliyo kinyume na utaratibu ,kanuni na miongozo ya utangazaji nchini.

Ombi hilo limekuja kufuatia siku kadhaa nyuma mitandao ya chombo hicho cha habari kuchapisha sehemu ya mahojiano na kijana anayejiita nabii Daniel Shilla, yaliyokua na kichwa cha habari kinacho someka "Hata Yesu Alifuata Wenye Pesa/ Msituite Matapeli" maudhui yaliyo onekana kupigwa na waumini wa dini ya kikristo ,kwa kuonekana kuwa na upotoshaji mkubwa, unao weza kuleta mgogoro wa kiimani






0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post