Viwanja vikubwa vinauzwa Mapinga na Kerege Bagamoyo




Viwanja vipo umbali wa km 2 tu kutoka (Baobab ec) / barabara kuu ya Dar to Bagamoyo. 

Vipo Viwanja ukubwa sqm 1000, sqm 2000 na sqm 4000

Bei ya sqm moja ni TZS 15,000

Biashara hii haina dalali Wala udalali.
Mpigie mhusika 0758603077 au whatsap 0757100236


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post