Vanessa Mdee Afurahia Ujio wa Mimi Mars Marekani Afunguka Haya Kuhusu Kuburudisha Wageni Waliyokuwa Wadogo


Ameandika Haya Vanessa Mdee Kupitia Instagram page yake:

Kipindi tunakuwa pale Kijenge ya juu opposite na shule ya msingi ya Kijenge ( wanaopajua pande hizo weka ♥️ kwenye comment ) sasa je Mzee Mdee alikuwa haturuhusu kutoka nyumbani kwenda popote zaidi ya shuleni, kanisani na sehemu atakazotupeleka kula ka outing kama pale AICC Club, mpo? Sasa nyumbani kwetu sisi tulikuwa watu wa kuji entertain basi ikitoka music video mpya tulikuwa tukikariri ma dance moves na kusherehesha wageni pale kibarazani kwetu, na amini ndipo nilipoanza kujifunza kuwa mtumbuizaji nikiwa na ndugu zangu tukijikuta Spice girls, Destiny’s Child, TLC 😂 mpo @mimi_mvrs11 @meerah_ashash

Basi Maria wenu kanitembelea huku na some things never change. Nifuraha ku danseee leo na mwanangu Seven na kipenzi changu @mimi_mvrs11 tupeni marks basi. So happy you’re here Mayaan wangu 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post