SERIKALI ya Kenya imetangaza zawadi ya TZS bilioni 1.23 kwa mtu atakayefanikisha kukamatwa kwa mtuhumiwa Mohamed Abikar (pichani) na wenzake wawili.
Abikar na wenzake, Musharaf Abdallah na Joseph Odhiambo wametoroka gerezani Novemba 15, 2021 ambako walikuwa wamefungwa kwa makosa ya ugaidi likiwemo shambulio la Garissa.
Kutoroka kwa wafungwa hao kumezua sintofahamu nchini Kenya kutokana na taarifa kuwa gereza walilokuwa amefungwa watu hao limekuwa chini ya ulinzi mkali.
@manyota_rich
Post a Comment