Baada ya Lukamba kupost video kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa kwenye muonekano mpya wa nywele kama za kike, Kaka wa Diamondplatnumz RomyJons amemshauri Lukamba atafute pesa, ‘’Tafuta pesa mdogo wangu’’~RomyJons.
Lukamba alimjibu Romjons kwa kumwambia:- ‘’We ulie tafuta una nini’’ na emoj ya kucha.
MamaDangote akaingilia kati na ku-Comment ‘’Suraaaaaaa’’ na emoj ya kucha.
Weka maoni yako hapa kuhusu suala hili.
Post a Comment