Producer s2kizzy Atoa Shukrani Kwa Diamond na Rayvanny Kwa Kumwamini na Kufanya Tetema Wimbo wa Dunia



Producer/mtayarishaji mkali kwa midundo @s2kizzy Zombie, ametoa shukran kwa wanamuziki @diamondplatnumz pamoja na @rayvanny kwa kumuamini katika utengenezwaji wa ngoma ya #Tetema ambayo imefanya poa kimataifa zaidi.

Katika ujumbe wake huo producer #S2kizzy ameeleza kushukuru kwa kufanya wimbo huo kuupeleka muziki wa afrika mashariki duniani, huku akigusia ujio wa collabo ya kimataifa kati ya @maluma ft @rayvanny #MamaTetema ambayo ni sehemu ya Remix ya wimbo wa tetema.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post