P Square Nao Waamua Kuchangisha Pesa, Wadai Lazima Watamzidi Davido "Tumuoneshe Davido Vichwa Viwili ni Zaidi"




Leo tarehe 18/11 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa mapacha na waimbaji wa muziki wa kizazi kipya tokea Nigeria, @peterpsquare na @iamkingrudy (P SQUARE) ambao walizaliwa miaka 39 iliyopita.




Baada ya siku ya jana kupatana kutokana na bifu yao iliyodumu kwa miaka mitano, Kupitia ukurasa wake wa Instagram, @iamkingrudy ameweka Challenge kwa mashabiki wa P Square na watu wote wanaowawish kwenye siku yao hii ya kuzaliwa kuchangia pesa kwaajili ya Birthday yao ili wamuonyeshe Davido kuwa Vichwa viwili ni zaidi ya kimoja.

Ameifanya kama utani akimchallenge @davido ambaye ameomba baadhi ya wasanii wakubwa barani Afrika kumchangia pesa kwaajili ya Birthday yake ambayo husherehekea tarehe 21/11




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post