Ameandika Hamisa Mobetto:
Ziangalie tuzo hizi kama alama ya matumaini ya kuwa unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa, unaweza kufika popote unapopawazia, ukiweka focus, dua na jitihada.
Shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja aliyechangia binti yule mdogo kuwa Hamisa Mobetto leo hii. Upendo wenu upo ndani, uvunguni kabisa moyoni mwangu, Nawapenda Saaaana ❤️❤️❤️ Shukrani sana kwa mashabiki zangu kwa kura zenu. You Guys are the best! 🥰"
Post a Comment