Mtumishi wa Mungu Nabii Shilla billionaire_shillah Ambae Week Hii Amekua Kwenye Trending Ya story Tofauti Tofauti ikiwemo video clip iliyokua ikisambaa kupitia mitandao ya kijamii ikisikika sauti yake na story zikidai alikua akifanya utapeli kwa watu kupitia mwamvuli Wakumtumikia Mungu, Na kudai hata Yesu alikuwa tapeli
Sasa Nabii Shilla Amefunguka kua Yeye Anaamini Mafanikio Na Miujiza Ya Mungu Kwake Ndio Sababu Ya kuonewa Wivu Na Kutengenezewa Ubaya
Nabii shilla aliongeza Kua Hata hizo Sauti zinatengeneza kupitia software maalum za kubadilisha sauti na kuigilizia Sauti Ya mtu flani
billionaire_shillah Anasema Yesu Anampenda Sana Na Hayo Yote Yanayoendelea Hayawezi Kumdhuri Hata kidogo Na Mwisho Wabaya Wake Wataumbuka
Post a Comment