Mwimbaji Vanessa Mdee Aishukia Benki Aliyoingia Nayo Mkataba wa Kufanya nao Kazi Lakini Hawajamaliza Kumlipa Mpaka Leo


Mwimbaji Vanessa Mdee ameibua malalamiko akidai kutomaliziwa malipo yake na benki ambayo aliingia nayo makubaliano ya kufanya kazi kama balozi. Aidha amewataka wasanii pamoja na watu maarufu Tanzania kutoruhusu makampuni kuwatumia tu kwa faida yao binafsi.
-
"Artists na watu maarufu Tanzania please don’t let these corporate companies take advantage of you. Mpaka leo lile benki halijamaliza kunilipa. Japo kiukweli ni benki bora but wameona wajikaushe. Yote kheri." - @vanessamdee ✍️


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post