Mtoto aliyefanya Mtihani wa Darasa la Saba Akiwa Gerezani Ahukumiwa Kifungo Cha Nje


Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga imemhukumu mwanafunzi aliyefanya mtihani wa darasa la saba akiwa gerezani, Kunde Gambija Kilulu (15) kifungo cha nje miezi sita baada ya kumkuta na hatia ya kuua bila kukusudia.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Novemba 15, 2021 na Jaji Seif Mwishehe Kulita katika mahakama iliyoketi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post