Msanii Rhino Aliyesemekana Kafariki Kwa Ajali Ajitokeza na Kutangaza Kuachia Wimbo


Msanii aliyekua akiunda kundi la muziki la #theMafik ambae alitajwa kufariki dunia kwa ajali ya pikipiki huko mkoani kigoma #rhinoking, ameibuka na kutangaza ujio wa ngoma yake mpya wiki inayo.

Msanii huyo ambae ametajwa kufanya tukio la kuigiza kifo chake kma sehemu ya kupata kufuatiliwa na watu (kiki) ameibuka upya katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuShare matukio mbalimbali, ikiwemo taarifa ya kutoa wimbo mya wiki inayokuja.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post