Msanii Burna Boy Ame-share Picha Ya Harmonize Katika Ukurasa Wake Wa Instagram na Kuandika


Msanii Burna Boy Ame-share Picha Ya Harmonize Katika Ukurasa Wake Wa Instagram(Insta Story) Na Kuandika Ujumbe Uliosomeka Hivi; ✍“@HARMONIZE_TZ ❤BRO”

Hii imetokea Ikiwa Ni Siku Chache Tangu Harmonize Afunguke WCB Kumuwekea Kikwazo Katika Kuperform Ngoma Ya Kainama Katika Show Ya Burna Boy Nchini Rwanda

Harmonize Aliwekewa Kikwazo Cha Kutakiwa Kutoa Dollar 5000 Ambayo Ni Sawa Na Milioni 11 Endapo Tu Atapanda Jukwaani Kushiriki Katika Show Hiyo




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post