Mkuu wa Wilaya ya Moshi Awataka Watendaji wa Serikali Wasiochanja Wajieleze



Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Said Mtanda ametoa maagizo kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha 60% ya Watumishi wamechanja Chanjo ya #COVID19 na wasiochanja waeleze sababu

Amesema ni vigumu kwa Mtumishi wa Afya ambaye hajachanja kumpokea Mgonjwa ambaye amechanja kwa kuwa anaweza kuwa sehemu ya kuambukiza wengine

Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>


Manispaa ya Moshi imepata Dozi 4,770 za #Sinopharm huku ikiwa imetoa 11% ya Johnson & Johnson walizopokea awali ambapo Watu 2,000 wamechanja katika Dozi 18,000 zilizopokelewa




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post