Mke wa @aristotee , Emmy amedai mumewe kuwa chawa kwake anaona ni jambo zuri tu maana kila akitoka kwenye uchawa na mastaa kama Diamond,Irene Uwoya na Freddy VunjaBei lazima arudi nyumbani na mtonyo mzuri tu, hivyo kwake anaona ni kazi nzuri.
Haya ameyasema akiwa ndani ya Big Sunday Live ya Wasafi TV.
Post a Comment