Maneno ya producer mkongwe nchini, @masterjtz juu ya kile kinachosemwa na watu kuwa alicho kifanya @diamondplatnumz kwa @harmonize_tz ni msaada.
Lakini pia namna Diamond ambavyo amekuwa akiona halipwi fadhila na Konde Boy.
Master J amedai anachofanya Diamond si msaada ila ni biashara ndio maaana waliandikiana contract ,na hata kqma ungekuwa msaada basi haimaanishi mtu aje kukuabudu.
Post a Comment