"Nyie amkeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
Serikali ya haki, serikali ya demokrasia, serikali ya Mama Samia imenipa passport yangu ambayo ni haki yangu kama Mtanzania ila haki hii nilinyimwa chini ya serikali ya kidikteta. Kwa muda wa miaka 3 niliishi bila passport. Sijatoa mguu marekani kwa miaka 5…
Safari ya kwanza itakuwa kwa mama yangu @mwelentuli . I’m coming mama.
Aisee jina langu lilikuwa blacklisted huko immigration. Ahsanteni wooote mliofanya juhudi mpaka nipata passport. Najua msingependa niwataje ila naomba mjue nawashukuru sana. Kwako Waziri wa mambo ya ndani, Simbachawene, Ahsante maana nilijua kukusumbua😩
HABARI KAMA HIZI UNAZIPATA KUTOKA APP YA UDAKU SPECIAL PEKEE DOWNLOAD HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO
Nyie haki imerudi Tanzania. Mjue mimi nilisha give up kuhusu kupewa passport. Dah, yani nna furaha leo utasema nna passport ya nchi gani sijui 🤣🤣🤣🤣..
Tanzania nakupenda kwa moyo woooote.
Uwiiii jamani leo natoa yooooote 🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️" Mange Kimambi
Post a Comment