Mange Kimambi Amuonya Harmonize Kuhusu Mchumba Mpya wa Kizungu Aliyempatia "Dogo Hapa ni Marekani"




Siku chache baada ya kumtambulisha mpenzi wake mpya mzungu, mwanamuziki @harmonize_tz ametumiwa ushauri wenye onyo ndani yake kutoka kwa mtanzania anaeishi nchini marekani mwanadada #mangekimambi .

Kutokea official Instagram page ya #mangekimambi ameandika ujumbe wenye fumbo ndani yake ,akiambatanisha na video clip ya ya msanii Harmonize kutoka tanzania akiwa na mpenzi wake huyo mpya anaetajwa kuwa raia wa australia & marekani, ujumbe unao sema;


HABARI KAMA  HIZI UNAZIPATA KUTOKA APP YA UDAKU SPECIAL PEKEE  DOWNLOAD  HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO


“Dogo hii ni marekani? Kama ni marekani please be careful. Hao wataku- ME TOO sasa hivi.





0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post