Usiku wa kuamkia Leo, P Square wamekiamsha vibaya nchini Sierra Leone huku crowd ikishindwa kujizuia kuona washkaji wamerudi pamoja.
Tarehe 18/12 mwaka huu, P Square wametangaza kufanya Show yao rasmi ya kurudi kwenye game kama kundi kundi, mbali na hilo kwa mujibu wa @peterpsquare ,kundi hilo litafanya World Tour kuwafikia mashabiki zao waliowamiss kwa muda mrefu.
Binafsi nafurahia kurudi kwa hawa brothers sababu ni shabiki yao mkubwa sana.
@iamkingrudy @peterpsquare
Post a Comment