"Pamoja na kuwa ni Staa kwa sasa ila sipati usumbufu wa aina yoyote. Ninachoweza kusema pengine naogopeka (watu wananiogopa) kiufupi wanaume wananiogopa!"
"Kule DM wengi wanaokuja wananipongeza kwa kazi ninayoifanya" @official_getrudemwita, 'Kibibi' Mwigizaji tamthilia ya Huba.
Post a Comment