"Sina Uhusiano na @millardayo, ni Mtangazaji ninayemkubali sana. Nilikwenda kwake kwa ajili ya Interview ambayo tulikuwa tunapanga muda mrefu nikakutana naye ofisini nikaomba kupiga naye picha kwa mara ya kwanza alikubali ikaishia hapo" @official_getrudemwita, 'Kibibi' Mwigizaji tamthilia ya Huba.
Post a Comment