Huyu Hapa Mrembo Aliyeshikilia Roho ya Rapper Kanye West Kwa Sasa..Kim Kardashian Tupa Kule


Rapper Kanye West ‘YE’ (42), anatajwa kuwa kwenye mahusiano na mwanamitindo Vinetria (22).

Vyanzo vya karibu na watu hao vimeuambia mtandao wa Page Six kuwa, Kanye amekuwa katika mahusianio ya siri na mrembo Vinetria kwa muda sasa. Pia inaelezwa mrembo huyo alikuwa na Kanye West mjini Miami wakati anafanya mahojiano na DRINK CHAMPS.

Sambamba na hilo, Vinetria anatajwa pia kuonekana katika huduma ya Jumapili (Sunday Service) ya rapper Kanye West mwishoni mwa wiki iliyopita.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post