Hawa ni Baadhi ya Wasanii wa Bongo Flava Walioamua Kumu Unfollow Diamond Platnumz


Licha ya kuwa mwanamuziki na mwanadamu pekee kutoka tanzania mwenye idadi kubwa ya wafuasi katika mtandao wa Instagram, akiwa na follower's/wafuasi zaidi ya Million 13' @diamondplatnumz ,pia kuna watu ambao ame wafollow na ambao haja wafollow.

Sasa akiwa kama mwanamuziki mwenye idadi kubwa ya followers katika mtandao wa instagram ,hiyo haijazuia baadhi ya wasanii wenzake kum unfollow/ kumfuta urafiki katika mtandao huo.

Hawa ni baadhi ya wasanii wenzake kutoka tanzania walio mfuta utafiki katika mtandao huo licha ya yeye kuendelea kuwa follow.

1.#Aslay: nyota huyu ambae alitamba na Yamoto band' kabla ya kufanya vizuri kama solo artist, ame mfuta urafiki/unfollow @diamondplatnumz licha ya kwamba bado diamond ameendelea kumfollow msanii huyo, na hili lilijiri katika kipindi ambacho Simba alihusishwa kutoka kimapenzi na mzazi mwenzake na aslay #TessyChocolte.

2. #RichMavoko: member wa zamani wa WcB Wasafi ,huyu pia amemfuta/unfollow urafiki #diamondplatnumz ambae alikua boss wake, licha ya kwamba bado diamond ameendelea kumfollow katika mtandao wake wa Instagram na alifanya hivyo katika kipindi ambacho anataka kujiengua wcb 2018.

3. #Harmonize: boss huyu wa KondeGang ambae pia ni member wa zamani wa WcB yeye amefanya jambo hili siku chache nyuma, yaani hata wiki haijakwisha, lakini licha ya kumfuta urafiki boss wake wa zamani bado ukimtafuta kwenye orodha ya watu ambao diamondplatnumz ame wa follow bado utamkuta.

@keviiiy.iam



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post