Hatimaye Jay Z Ajiunga Instagram, Ndani ya Masaa 3 Followers Milion Moja


Ni rasmi sasa mwanamuziki @jayz ameingia katika mtandao wa Instagram ambapo amepata zaidi ya wafuasi Million 1.1 ndani ya saa 3 tangu afungue rasmi ukurasa wake huo.

Jigger Man ambae anamiliki account ya twitter tangu 2008 ,ametajwa kuamua kufungua account hiyo baada ya miaka mingi, kwa lengo la ku promote movie yake ya "The Harder They Fall", na ndio post pekee aliyo post katika ukurasa wake huo.

Mpaka sasa ni mtu mmoja pekee ambae @jayz ame mfollow katika ukurasa wake wa Instagram ambae ni mke wake @beyonce .

L


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post