Hatimaye Christina Shusho Afunguka Kuhusu VIDEO Inayoonyesha Akinywa Pombe na Wenzake


Hivi karibuni video clip inayo muonyesha Mwimbaji wa nyimbo za Injili, @christinashusho akiwa anakunywa kinywaji kinacho dhaniwa ni pombe, imetrend sana kwenye social media na wengi wakiamini kuwa mwimbaji huyo ni mtu wa tungi za kujificha.

Akiwa kwenye kipindi cha Big Sunday Live,Wasafi TV hii leo tarehe 7/11, Shusho amedai kinywaji kile hakikuwa kilevi na ni juisi ambazo kwa wenzetu utolewa kwa heshima ya watu fulani na ni gharama pia, wakiwa kwenye chumba hicho wanacho onekana kwenye hiyo clip, Bishops walikuwa wakiendelea kuongea japo lugha iliyokuwa ikiongelewa ilikuwa haieleweki kwa Shusho na timu yake, hivyo wakaamua kudeal na mambo yao kwa kujirekodi video clips tatu na kushea moja huku wakitarajia kile kilichotokea.


Read More: Mange Kimambi Amlipua Paula "Paula Hasomi Turkey Mtaniambi Time Will Tell"

Kingine Shusho amedai hafanyi muziki kwaajili ya pesa bali anafanya muziki wenye maisha na ndani yake kuna pesa. Huku akidai kuwa lengo lake kubwa ni injili ifike kwa watu na hata amapiano anaweza fanya ili upako ushuke

Ana kionjo chake cha UMELALA YOOO BABA UMELALA WEEE kinatrend kwenye social media hatari



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post