Harmonize: Mashabiki zangu msipoteze mabando yenu, sijachaguliwa kwenye tuzo zozote




#Harmonize aonyesha kutokubaliana na utezi wake wa kuwa mmoja ya wasanii wanaowania tuzo mbalimbali nje ya nchi. Ikumbukwe @harmonize_tz ametajwa kwenye tuzo kadhaa kama #AEAUSA#AFRMA.

Lakini alichomaanisha amewaonya mashabiki wake kuwa wasijisumbue kuweka bando lao na kuliharibu kwani hajatajwa kwenye tuzo yoyote. Hicho ndicho alichoandika kupitia Insta stori yake.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post