Kulingana na post aliyoShare Kupitia insta story yake mwanamuziki @harmonize_tz usiku wa leo anakwenda kukamilisha ahadi yake aliyo itoa wiki kadhaa nyuma alipokua nchini marekani kuhusu kufanya kazi na mwanamuziki mkongwe #20percent.
Kupitia insta story yake Harmonize amepakia kipande cha video akiwa anasikiliza moja ya nyimbo za msanii huyo, na kuandika,↓
“Going in da studio with my brother 20% , Tonight Can't wait”
Msanii huyo mkongwe kwenye game ya BongoFleva ni moja kati ya wasanii wawili (pamoja na #diamondplatnumz) wanaoshikilia rekodi ya kushinda tuzo nyingi za 'KiliMusicAwards' katika usiku mmoja .
✍🏾@keviiiy.iam
Post a Comment