Licha ya kuwa Diamond Platnumz bado amem-follow kijana wake wa zamani, #Harmonize katika ukurasa wa Instagram lakini upande wa pili mambo yameb
adilika, kwa kuwa Harmonize yeye amejiondoa kuwa mmoja wa wafuasi wa bosi wake huyo wa zamani.
Wakali hao wa Bongo Fleva ambao waliwahi kufanya kazi kwa ukaribu miaka kadhaa nyuma wakati, Harmonize au Konde Boy Mjeshi akiwa chini ya Wasafi Classic Baby (WCB), ni rasmi ‘undugu’ wao unaelekea kupotea mazima.
Konde Boy amemuondoa Diamond Platnumz kwenye orodha ya watu aliowa-follow huku #Diamond akiwa bado hajafanya mabadiliko yoyote ya kumtoa.
Post a Comment