Harmonize Amjibu Diamond Platnumz "Mkishakosaga Tuzo Zisizo Nunulika Msikimbilie Ngada Haraka...Rudini Studio Subirieni Afrima”


Msanii Harmonize Atupa Jiwe Gizani, Aandika Ujumbe Mzito Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram(Insta Story). Harmonize Ameandika Ujumbe Uliosomeka Hivi;

✍“Vijana Ni Vyema Kujifunza Ukimsaidia Mtu Sio Lazima Umdai Fadhira Maana Kama Ndio Hivyo Basi Tanzania Yote..!!! Inanidai Pia Ukishapokea Mamilioni Ya Shilingi 600M Ukishavutia Unga Yakiwa Yanakaribia Kuisha Ni Vyema Kuyauliza Au Kuyadai Fadhira...!!! Pia Vijana Jitahidini Kutofautisha Kipi Ni Hatari Kati Ya Mihadarati Na Huo Unga Unaowakondesha...!!! Vijana Jitahidi Kutofautisha Kati Ya Wewe Mwenye Miaka 11 Na Wenye Miaka 6 Umefika Wapi Mana Bar Ni Zile Zile Kicheni Pati Ni Zile Zile Huku USA🤣 Richa Ya Kuvimba Kote Mkiwa Jiji La Mama Samia..!!!!! Vijana Ni Vyema Kuendelea Kuwalipa Wakina Mama Levo Waendelee Kutukana Watu Unaotaka Wakuheshimu Huku Ukiamini Watakufa Kimziki Bila Kujua Unawalipia Promotion🤣 Vijana Jifunze Kupost Msanii Wako Akitoa Wimbo Sio Kuumia Kwa Kutolewa Kwenye Collabo Na Sio Kutafuta Pakutokea Kupitia Kijana Mwenzio Sio Vizuriiii Kaka🤣”


Lakini Harmonize Ameandika Ujumbe Mwingine Uliosomeka Hivi; ✍“Mkishakosaga Tuzo Zisizo Nunulika Msikimbilie Ngada Haraka...!!!🤣🤣🤣 Rudini Studio Subirieni Afrima👍”


Unadhani Ujumbe Huu Wa Harmonize Ni Maalum Kwa Nani? Kwa Habari Zaidi, Usiache Kutembelea Youtube Channel Yetu Ya Swahili Media




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post