Kupitia show ya kubwa ya burudani inayorushwa na kituo cha Wasafi Tv 'BigSundayLive' siku ya jumapili. Mtangazaji wa Kipindi cha Malavidavi(WasafiFm) 'Divathebawse' alalikwa katika show hiyo, ambapo katika kipengele cha Picture Challenga Alitoa povu kwa mwanamuziki @harmonize_tz na kusema hafatilii nyimbo zake hata akisikia nyimbo yake inapigwa atazima kama ni Tv/Redio iliyopo karibu yake
Katika kiengele cha Photo Challenge Diva aliwekwewa picha 2' ya Harmonize na Alikiba na kutakiwa picha moja na sababu ya kuchagua picha hiyo, ndipo aliopochagua picha ya Alikiba na kisha kutoa maelezo ambayo yaligeuka kuwa povu kwa Harmonize, kwa kudai kua hakutaka kumchagua Kiba wala Harmonize ila kwa sababu anamchukia sana Harmonize basi atamchagua Alikiba tu. Mwishoni Diva alimalizia kwa kusema 🗣“Simpendi Harmonize na Anajua hilo kuwa simpendi”
Post a Comment