Diamond, Wizkid, Burna Boy na Megan Thee Stallion Jukwaa Moja Ureno




Ni wakali wanaoandaa tamasha la Afro Nation ambapo time hii wametoa orodha ya mastaa watakaoinogesha jukwaa lao.
Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika nchini Ureno mnamo Julai 1, 2 hadi 3 Mwaka 2022 huku litawatakutanisha wasanii tofauti akiwemo Diamond Platnumz, Patoranking, Megan Thee Stallion, Rema, Inno, Burna Boy, Wizkid, Kiss Daniel na wengineo.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post