Taarifa Mpya Ikufikie Kwamba Ngoma Ya Star Wa Muziki Barani Africa @diamondplatnumz 🦁 Ft @fallyipupa01 #Inama Imefanikiwa Kufikisha Views Milioni 100 Youtube.
Huu Ni Muendelezo Wa Maajabu Ambayo Mkali Huyu Anazidi Kutuonesha Kila Kukicha Kwa Kuweka Rekodi Mbalimbali Katika Kazi Zake Za Muziki
Star Huyu Aliachia Ngoma Hii Ambayo Mitaa Ilikuwa Haiwezi Kuacha Kuipiga/ Kuicheza Kila Siku. Iliingia Sokoni Rasmi June 9, 2019 Katika Ukurasa Wake Wa Youtube na Platforms Mbalimbali Za Kusikiliza Muziki
Je, Ni Star Gani Mwingine Unayemfahamu Toka Africa Mashariki Amefikisha Views Milioni 100 Youtube ?
Post a Comment