Msanii Best Naso taarifa za kuzushiwa kifo zilisababisha bibi yake kuzimia mara tatu kijijini na kuleta taharuki kwenye familia yake.
Best Naso anasema chanzo cha taarifa hizo za kuzushiwa kifo zilianzia kwenye mtandao mmoja kutoka nchini Kenya ambapo walipost kwamba amejinyonga.
Post a Comment