Wizkid ameshinda Tuzo ya MTV EMA kipengele cha msanii bora wa Africa (Best African Act) tuzo ambayo ilikuwa ikiwaniwa pia na mkali toka Tanzania, Diamond Platnumz. Wizkid amewaangusha pia Focalist, Tems na Amaarae wa Ghana. Tuzo hizo zinatolewa usiku huu nchini Hungary.
Post a Comment