Babalevo "Babutale Mamlaka ya Kuwaita Watu Wapumbavu Ameyapata Wapi?"

 


Hivi karibuni Babu Tale alizungumza juu ya sanaa kwa mapana yake, alidai kuwa watanzania tuwe mstari wa mbele kuwapongeza wasanii kwa kazi zao vilevile wasanii wajikite zaidi kwenye muziki na sio mabishano yasiyokuwa na tija katika tasnia ya muziki

Hatahivyo alitaja idadi ya watu wanaotakiwa kupuuzwa wakiwemo Babalevo, Jumalokole, Mwijaku nk nakudai kuwa hao ni wapumbavu wanadhoofisha tasnia ya muziki.


Bila Uoga Msanii Babalevo Amemuandikia ujumbe mzito Mbunge Babutale Baada ya kumuita Mpumbavu, Ahoji Mamlaka hayo ya kuwaita Watu wapumbavu ameyapata wapi ??



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post