Aristotee Atua na Helicopter Kanisani Kufunga Ndoa



Mzee wa Vikao @aristotee ameamua kuipa uzito wa aina yake siku yake hii kubwa na muhimu ya Harusi , na akaona hawezi kwenda kanisani kufunga pingu za maisha kikawaida 🤗.

Huu ndio usafiri aliotua nao hapa Kanisa la Elishadai Temple Church , Boko . | #AristoteeAndEmmyWedding


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post