Alichokisema Mo Dewji Baada ya Simba Kuwafanya Vibaya Red Arrows



Aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba Mohammed Dewji ametuma ujumbe wa pongezi kwa wachezaji wa Simba baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia.

Dewji ambaye kwa sasa ni Rais wa heshima wa klabu hiyo ametumia ukurasa wake wa mtandao wa twitter kutuma pongezi hizo huku akiwapa salamu Red Arrows.

"Alhamdulillah: Hongereni wanasimba: Zambia here we come! 🦁🦁🦁" amendika Mo.

Simba sasa itakiwa kuapata sare ya aina yoyote ile au ushindi kwenye mchezo marudiano utakaofanyika nchini Zambia


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post