Agness "Nataka Mwanaume wa Kumlea Awe Anakaa Nyumbani Tu"




Mrembo AGGY BABY Amefunguka Kua Kwa Muda Ambao Alitangaza Kuhitaji Kuolewa kwa mahali Ya shilingi Milioni Mia Tano Wadau Niwengi Wanaotaka Kumuoa Lakini Wengi Wao Hawana Vigezo Vingine Anavyovihitaji

Agness Amefunguka kua yeye Mbali Na kuhitaji mahali Kubwa Lakini Anahitaji Pia Mwanaume Wakumsaidia Kazi Za Nyumbani ,Kumfulia Nguo,Kumpikia Na Mwanaume Huyo Awe Anashinda Nyumbani Tu kufanya kazi za nyumbani Na Sio Kutoka OUT



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post