WEZI WAJISALIMISHA KWA KITUO CHA POLISI NA GARI WALILOKUA WAMEIBA

WEZI WAJISALIMISHA KWA KITUO CHA POLISI NA GARI WALILOKUA WAMEIBA


Visa vya wizi wa magari vimekua vikiripotiwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali humu nchini Kenya, Kila wiki ningeweza kusikia habari kwenye vyombo vya habari kisa kimoja au viwili vikiripotiwa kuhusu wizi wa gari, jambo ambalo sikuchukulia kwa hadhi, kwani nilidhani niuongo tuu. Ni hivi maajuzi ambapo niliweza kukumbana na wizi huo moja kwa moja baada ya gari laungu aina ya Harrier kuibwa katikati mwa jiji la Nairobi.

Vingi vya visa hivi huripotiwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi, bila kuzaa matunda kwani polisi hutoa ahadi yakwamba wangewanasa wezi wa maghari hayo lakini kufikia sasa hakuna mtu yeyote ashawai naswa na kushtakiwa kwa tuhuma za wizi wa Gari, japo visa vimekua vikiripotiwa kwa wingi. Ni maajuzi tu moja wa rafiki yangu aliweza kupokonya gari lake na majambazi waliokua wamejihami kwa bunduki, katika barabara kuu ya Thika, Aliweza kuripoti kisa hicho katika kituo cha polisi cha Kamukunji na kufikia sasa hakuna yoyote amenaswa wala gari lake kupatikana.

Ameweza kuzunguka kwa vitio vingi vya polisi bila kuzaa matunda. Aliweza kunieleza hayo yote na kunirai niwe mwangalifu ninapolitumia gari langu,ambalo nilikua nafanya biashara ya uchukuzi almaarufu (Taxi). Kazi ambayo nimeweza kuifanya kwa mwaka moja sasa.

Imeweza kua kitega uchumi changu pamoja na familia yangu, Niko na mototo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu, na mwanamke, wote hao tegemezi lao ni mimi, kuweza kuilipa karo na kuweza kushughulikia majukumu yote ya kinyumbani ikiwemo Ununuzi wa bidhaa vyote bila kusita, yote hayo nimeweza kusaidiwa na biashara ya texti ambayo nimekua nikiifanya kwa mwaka moja sasa.

Kabla kisa cha kuibiwa gari kutokea, Niliweza kushuhudia kisa hicho ndotoni, Niliota kuwa majambazi wawili waliokua wamejihami kwa bunduki na vifaa vingine butu waliweza kunisimamisha barabarani na kudai kwamba walikua maafisa wa trafiki, kumbe yalikua madai ya uongo, waliweza kunifunga kwa pingu, na kunipokonya gari na kutoweka, ndoto hiyo iliweza kunipa kiwewe kila wakati nikiwa kwa shughuli zangu za uchukuzi kila wakati, Niliweza kutilia maanani sharia za barabarani nisije nikasimamishwa na polisi wa trafiki ambao nilidhania kua ni majambazi kila nyakati nilikumbana nao barabarani.

DR KIWANGA NI JIBU LAKO CHAT NAYE HAPA


Siku ya ijumaa ningeweza kuifanya kazi vizuri, na ningependelea kuifanya kufikia nyakati za Usiku wa manane, Kwani wengi wa wateja wetu wangetaka kusafirishwa kutoka majumbani mwao ama kufikishwa katika maeneo mbalimbali ya burudani kutumia texti kwani zingeweza kuwafikisha maeneo yote waliohitaji, Siku hii biashara zingenoga sana, na ningeweza kupata kipato cha juu sana cha fedha ikilinganishwa ni siku nyingine za wiki, Ijumaa ya wiki iliyopita niliweza kurauka machweo kuianza kazi yangu ya kila siku ya uchukuzi, ambao niliifanya vyema na kwa ustadi kwa hofu niliokua nayo kutokana

na ndoto, Niliweza kuwasafirisha takriban wateja kumi na wawili katika maeneo mengi jijini Nairobi, Wengi wao niliweza kuwasafirisha kutoka maeneo ya burudani kuenda majumbani mwo. Ilipotimia mida ya saa tano Usiku, nilipokua nimeegesha gari langu, Ghafla bin vuu wanaume wawili walifika nakutaka kusafirishwa maeneo ya Kahawa Magharibi takriban kilomita kumi katika mwa jiji la Nairobi.

iliweza kuruhusu wito wao kwani waliweza kukubali kulipa kiwango chochote cha fedha ningeweza kuwaagiza walipe mwisho wa safari, Baada ya mwendo wa kilomita tatu hivi, wanaume hao walianza kuzungumza lugha ambayo sikuweza kuielewa, muda baada ya muda wangeweza kupiga simu na kuongea kwa muda mrefu sana, Siikua na ufahamu wowote mabo waliokua wakiongelea, na sikutaka kuwauliza kwani, ni uhuru wao kuzungumza na simu wakati wowote wanapo abiri gari, Moyoni nilikua na tashwishi nao kwani wengi waliopokonywa maghari yao walilalama kua, waliowapora walikua na tabia za kuzungumza mara kwa mara kwenye rununu.

Tulipofika eneo Ndonyo kilomita chache kufikika mji wa kahawa, wawili hao walilalama yakwamba walikua wamekazwa, na wangetaka nisimamisha gari kando ya barabara ili wapate nafasi ya kuenda haja ndogo, niliwakubali kufanya hivo kwa kudhani kwamba wangerejea baadaye tuendelee na safari, Ghafla bin vuu wanaume hao wawili hao walinivamia wakiwa na visu na bastola waliniagiza niondoke kwenye gari nikiwa nimeshikilia funguo za gari hilo mkononi, nilifanya hivo kwa kuofia maisha yangu, nilimkabidhi mmoja wa wanaume hao funguo hizo mkononi, ila mungine alinishika mashati na kunipokonya hela, wawili wote waliingia kwenye gari hilo na kutoweka, Niliripoti kisa hicho kwa kituo cha polisi cha kahawa bila mafanikio.

Siku moja nilipokua kwenye mtandao nilikumbana na wavuti www.kiwangadoctors.com baada ya kupitia nilifahamu kua walikua na uwezo wa kuipata mali iliyopotea, bila kusita niliichukua nambari yao na kuwapigia simu, Nilimweleza daktari kiwanga yote yaliotokea kuhusu gari langu na alinipa ahadi kua kwa siku mbili hivi wezi hao wangelirejesha gari hilo.

Baada ya siku mbili afisa wa polisi kutoka kahawa alinipigia simu na kuniarifu niendee gari hilo kwani majambazi hao walijisalimisha pamoja na gari hilo. Hongera kwa madaktari wa kiwanga, Madaktari hao pia hutibu majogwa mbalimbali ikiwemo kifafa, Kuvunjika mifupa mwilini, na kifua kikuu.

Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com. Simu +254 769404965 / E-mail kiwangadoctors@gmail.com.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post