Wema Sepetu Afunguka Kutamani Mahusiano "Mtoto wa Mtu Anaenda Kunipenda Hasa"


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa @wemasepetu Ameandika.............

"Somebody's Son gon Love me soooo hard One Day.... Im Telling You...☺️😜☺️😜☺️😜 Mama wakwe, Mawifi, Mashemeji na Kadhalika mtaona wivu wa Ajab🤪🤪🤪... (Just Kidding cause im a Lovely person) Sidhani kama Im difficult to Love... Au tuwaulize walopita...🤔🤔🤔 I miss to Be in Love tho... 🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️ But im Happy...''




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post