Wabongo Hawana Dogo, Wamwita Aliyekuwa Mke wa BEN Pol Arnelisa Bibi Kizee


ALIYEKUWA mke wa staa wa RnB Bongo, Ben Pol, Anerlisa Muigai amewalalamikia Wabongo juu ya umri wake na tabia zao za kumuita bibi kizee.


“Watanzania (Wabongo) wanapenda kunitusi na kuniita bibi mzee mara kwa mara, lakini naliacha hilo lipite kwa sababu nitapendelea siku moja wasapoti biashara zetu,” amesema Anerlisa ambaye aliachana na Ben Pol mwaka jana.

Anerlisa mwenye umri wa miaka 34 ni mmiliki wa bidhaa mbalimbali ikiwemo kampuni yake binafsi inayoitwa Nero Limited inayojihusisha na utengenezaji wa maji ya kunywa nchini Kenya.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post