On trending now, ni vita ya maneno yanayo tafsiriwa kuwa vijembe kati ya ma photographers wawili wa wasanii wa tanzania, @lukambaofficial (diamond) na @jabulant_ (harmonize) ambao wote kwa pamoja wapo nchini marekani kwa shughuli zao za kimuziki.
Sekeseke hilo lilianza siku kadhaa nyuma baada ya photographer wa harmonize #jabulant kudai kwamba wasanii na photographer wote wakubwa wapo nchini marekani , ambapo alichapisha kupita insta story yake.
Post a Comment