Unaambiwa Tanasha Donna na Tommy Flavour Mambo Safi


Mwimbaji toka Kings Music, Tommy Flavour amenifanikiwa kufanya video ya ngoma yake na Tanasha Donna toka nchini Kenya.

Wawili hao walishuti video hiyo visiwani Zanzibar siku kadhaa zilizopita, mashabiki wengi walikuwa wanajua ni kazi ya Alikiba lakini imekuja kubainika sivyo.

Kabla ya kuingia kwenye muziki, Tanasha alijizoleha umaarufu Bongo baada ya kutokea kwenye video ya wimbo wa Alikiba na Christian Bella 'Nagharamia' ikiwa ni video yake ya kwanza kufanya.

Inaelezwa video ya wimbo huo ilishakuwa imefanyika na mrembo mwingine ila haikutoka kwa kiwango kinachotakiwa, hivyo ikarudiwa.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post