Timu ya Taifa ya #Tanzania ya Wanawake, #TwigaStars imeifunga timu ya #Malawi goli 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa katika dimba la Nelson Mandela huko Afrika Kusini
Goli la Twiga Stars limefungwa na Enekia (64’)
Aidha, Nahodha wa Twiga Stars, Amina Billal ametangazwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo
Post a Comment